Ukoloni
Mandhari
Mfumo wa taifa moja kuvuka mipaka yake na kutawala taifa jingine katika nyanja za kiuchumi, kiutamaduni na kijamii.
Mataifa ya Afrika yaliwekwa chini ya ukoloni wa nchi za Ulaya mara baada ya Mkutano wa Berlin ulioitishwa na Kansela Bismark mwaka 1884-1885.